MSIMAMO WA LIGI KUU SOKA TANZANIA (NBC PREMIERE LEAGUE

Updates za Msimamo wa Ligi mpaka saivi👇 Simba amesalia nafasi ya Pili akiwa na Point 25 tofauti ya Point 10 ya Yanga ambae anaongoza Msimamo wa Ligi mpaka saaa hivi akiwa na pointi 35